Wanawake na wasichana wengi wanaofanyiwa ukatili wa kijinsia hawafahamu mifumo ya utoaji haki na namna ya kupata msaada pale wanapokumbana na vitendo vya ukatili, mara nyingi hutatua changamoto zao katika familia zao ambapo huishia kusuluhisha masuala hayo kifamilia. Taarifa ya utafiti wa Afya Tanzania 2015 - 2016 inasema kuwa aslimia 9% ya wanawake kati ya asilimia 54% hupata msaada polisi au katika vyombo vya dola na asilimia iliyobaki husuluhisha kifamilia.
Hali hi inawaathiri sana wanawake wahanga wa ukatili na kuwaweka katika hatari ya kufanyiwa ukatili tena. Chati hii ya malalamiko imeandaliwa mahususi kuwasaidia wanawake wahanga wa ukatili kufahamu mifumo ya kudai haki na njia za kufuata kuipata haki hiyo.
Unleash your inner purpose to help the helpless, marginalized and oppressed. Your contribution will help our course in provision of legal aid and promotion of human rights.
Help us curb human rights violations such as the murderous attack against people with albinism and elders.
Your donation will help us empower the general public with civic education on cross cutting issues counting gender issues and democracy to realize the changes we aspire.
Help us safeguard human rights all together.
Huenda huna muda wa kutosha wala kipato cha kutosha kulinda utu na haki za wengine, ingawa unawiwa kufanya hivyo.
Ni jukumu letu sote kujitoa kwa kidogo tulichojaaliwa ili kupaka rangi ya furaha katika nyuso za wengine, wewe, yule na sisi tukikusanya nguvu tunaweza kutetea na kulinda haki za wanaoonewa kwa kushindwa kuzifikia huduma za haki.
Jitolee sasa kidogo ulichonacho kusaidia ulinzi na utetezi wa haki na utu wa binadamu.
